Karibuni wateja wetu wote. mjiskie huru kupata huduma zetu kwa unaostahiki ndani na nje ya nchi.
Kwa sasa tunatoa huduma kwa kushirikiana na washirika wetu wafuatao:
1. Mkwale Law Chamber wanapatikana Bububu Zanzibar
2. Chema and Associates Advocates wanapatikana Mwanakwerekwe Zanzibar
3. Freelance Realtors na Alkiyumi Travelling Agency wakiwa Mwanakwerekwe Zanzibar
Miongoni mwa huduma zinazozopatikana ni ushauri wa kisheria, kusimamia na kuendesha kesi, kuandaa na kufungisha mikataba pamoja na kusimamia mauzo au manunuzi, kufuatilia madeni ya wateja wetu, kutangaza, kusimamia mali kwa ajili ya mauzo au manunuzi ya wateja wetu, n.k.
Unaweza kutupata kupitia barua pepe mkwalelawchamber@gmail.com au simu namba 0778146402
Karibuni sana

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TANGAZO TANGAZO TANGAZO