TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Freelance Realtors

Inaleta kazi ya nyumba mpya kabisa . 
Bei Milioni 50 tu


Nyumba nzuri Sana ina vyumba vnne vya kulala,

 kimoja master bedroom,

 ina sttng room ,

na daining room,

 ina jiko na store ina maji,

 na umeme eneo zuri mtaa mzuri,

 ipo karibu Sana na Barbara kuu ya lami dakika 9 kwa mguu,  

 njoo mbagala saku ilulu jiji la dsm ..  

Simu 0778146402

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii